Fafanua dhima tano za michezo ya chekechea

      

Fafanua dhima tano za michezo ya chekechea

  

Answers


ESTHER
b) Umuhimu wa michezo ya chekechea.
- Hukuza kipawa cha uigizaji.
- Hukuza ubunifu
- Ni njia ya kukashifu vitendo visivyofaa katika jamii.
- Huonyesha falsafa ya jamii kuhusu majukumu mbalimbali ya kijamii mfano (baba na mama) – kuonyesha majukumu yao katika jamii.
- Hukuza ukakamavu miongoni mwa watoto ambao huimarika wakuapo.
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 19:37


Next: Taja miundo yoyote mitano ya nomino katika ngeli ya A-WA
Previous: (i) Eleza maana ya Lingua Franka (ii) Tambua sifa zozote tatu za Lingua Franka

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions