(i) Eleza maana ya Lingua Franka (ii) Tambua sifa zozote tatu za Lingua Franka

      

(i) Eleza maana ya Lingua Franka
(ii) Tambua sifa zozote tatu za Lingua Franka

  

Answers


ESTHER
(i) Eleza maana ya Lingua Franka. (alama 2)
- Ni lugha inayotumiwa na watu walio na lugha tofauti kwa ajili ya mawasiliano kwa mfano Kiswahili katika eneo la Afrika Mashariki.
(ii) Tambua sifa zozote tatu za Lingua Franka. (alama 3)
- Huwa ni lugha ua mawasiliano kati ya watu wenye lugha zaidi ya moja.
- Yaweza kuwa lugha ya kwanza ya mzungumzaji au lugha ya pili na kwa watu wengine lugha ua kigeni
- Hukiuka mipaka ya kitamaduni
- Hukiuka mipaka ua kimaeneo - inaweza kutumiwa katika maeneo mapana.
- Hutumiwa na watu ambao lugha zao za mama ni tofauti
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 19:40


Next: Fafanua dhima tano za michezo ya chekechea
Previous: Jadili mbinu ya sadfa katika Kidagaa Kimemwozea.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions