Jadili mbinu ya sadfa katika Kidagaa Kimemwozea.

      

Jadili mbinu ya sadfa katika Kidagaa Kimemwozea.

  

Answers


ESTHER
Kukutana kwa Amani na Imani pale ziwa Mawewa.
- Amani na Imani kukutana na Dj pale mto Kiberenge kisha anawapeleka kwa Mtemi.
- Amani kufika tu kwa Mtemi anapohitaji mchungaji.
- Majisifu kupata tu barua ya mwaliko wa kutoa mhadhara baada ya kubishana na Mkewe kuhusu ubingwa wake katika uandishi.
- Bi.Zuhura anapomwita Amani chumbani kwake Mtemi anawasili.
- Amani anafika tu pale ambapo Oscar kambona anataka kulipiza kisasa kwa Mtemi.
- Amani na Imani kuajiriwa na ndugu.
- Amani na Imani wanakutana wakati tu wote wameharibikiwa na mambo.
- Dj anapita kibandani kwa Amani wakati Amani anawaza kuhusu kile kitoto Uhuru. Dj anaenda kumwita Imani kumsaidia Amani.
- Kitabu anachopewa Amani kusoma pale pa Majisifu ni kidagaa ambacho ni kitabu chake.
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 19:42


Next: (i) Eleza maana ya Lingua Franka (ii) Tambua sifa zozote tatu za Lingua Franka
Previous: Thibitisha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyo fanikisha maudhui ya uwajibikaji.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions