Thibitisha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyo fanikisha maudhui ya uwajibikaji.

      

Thibitisha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyo fanikisha maudhui ya uwajibikaji.

  

Answers


ESTHER
- Amani anakilea kitoto Uhuru kama mwanawe baadaya Mtemi kukipagaza mlangoni kwake.
- Bi. Zuhura anawasaidia Amani na Imani kukilea kitoto Uhuru.
- Amani na Imani wanaishi katika kibanda kimoja lakini hawakiuki mipaka ya uhusiano wao.
- Imani anabadili mawazo yake kuhusu tendo la kujiua.
- Wafanyikazi wa Mtemi wanajitahidi kunadhifisha kasri.
- Amani anafunga safari ili kupata aliyemwibia mswada wake.
- Madhubuti anajitenga na ufisadi wa babake.
- Ben Bella anavunja uhusiano wake na Mashaka.
- Amani anafichua siri yake kwa Madhubuti kwa wakati ufaao.
- Amani na Imani wanafunga ndoa tu baada ya kukamilisha masomo.
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 19:44


Next: Jadili mbinu ya sadfa katika Kidagaa Kimemwozea.
Previous: Kidagaa Kimemwozea “....usiniweke pembeni kama tanbihi, mimi na wanawake wenzangu kama wanaume wengine wafanyavyo waandikapo...” a) Fafanua muktadha wa dondoo hili (alama 4)

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions