Maenezi ya Kiswahili Afrika Mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano.

      

Maenezi ya Kiswahili Afrika Mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano.

  

Answers


ESTHER
(a) Uhaba mkubwa wa wataalamu wa Kiswahili
(b) Athari kutoka kwa lugha ya kwanza.
(c) Watu kuchangamkia lugha nyinginezo kama vile kiingereza, kijerumani.
(d) Imani potovu – lugha ya Kiswahili ni duni
(e) Uhaba wa walimu wa Kiswahili.
(f) Uhaba wa vitabu vya Kiswahili.
(g) Kutokuwepo kwa sera ya lugha kutoka kwa baadhi ya serikali za mataifa ya Afrika mashariki.
(h) Uhaba wa pesa za kutafitia
(i) Nchi za Afrika kupuuza kukuza na kuendeleza Kiswahili
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 19:58


Next: “We bwana unafikiri natumia petroli nini?” (a) Uweke usemi huu katika muktadha wake. (al 4) (b) Huku ukitoa mifano, eleza mbinu mbili za lugha zilizotumiwa na mwandishi...
Previous: Hatua ya serikali kuu kumpa kila mwanafunzi wa darasa la kwanza tarakilishi ni ya manufaa sana. Jadili.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions