Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Hatua ya serikali kuu kumpa kila mwanafunzi wa darasa la kwanza tarakilishi ni ya manufaa sana. Jadili.

      

Hatua ya serikali kuu kumpa kila mwanafunzi wa darasa la kwanza tarakilishi ni ya manufaa sana. Jadili.

  

Answers


ESTHER
Manufaa
i) Tarakilishi itarahisisha ufunzaji wa masomo mbalimbali kwa upande wa mwalimu
ii) Itakuza na kuimarisha ubunifu miongoni mwa wanafunzi
iii) Hatua hii itamtanguliza mapema mwanafunzi katika ulimwengu wa tarakilishi na teknohama.
iv) Itasahihisha kuelewa haraka wa masomo kwa kurahisisha mada ngumu katika silibasi kwa mwanafunzi
v) Itaboresha matokeo ya mitihani kwa wanafunzi husika.
vi) Itaimarisha Uchumi wa watengenezaji wa tarakilishi na programu.
vii) Zitatumika katika utafiti
viii) Zitapunguza mzigo kwa wanafunzi wa kubeba vitabu vingi
Hasara
102/1,102/2,102/3 kiswahili
Top grade predictor publishers Page | 118
i) Ni ghali kutekeleza – itahitaji fedha nyingi
ii) Bila kuwepo kwa walimu walio na umilisi wa kutosha wa kompyuta, hatua hiyo haitakuwa na manufaa
iii) Kutakuwa na tatizo la usalama wa wanafunzi na tarakilishi zenyewe.
iv) Baadhi ya shule hazina miundo-msingi ya kutekeleza masomo kwa tarakilishi k.v. kawi na madarasa.
v) Zisipodhibitiwa, tarakilishi zitaweza kusababisha utovu wa maadili kwa wanafunzi kupitia mitandao (hoja 5 katika kila upande)
Tanbihi
- Hii ni insha ya mjadala
- Iwe na upande wa kuunga na ule wa kupinga
- Katika hitimisho mwandishi aonyeshe msimamo wake
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 20:01


Next: Maenezi ya Kiswahili Afrika Mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano.
Previous: Kiswahili ni lugha ya kibantu kulingana na ushahidi wa ki-isimu. Thibitisha kauli hii.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions