Kiswahili ni lugha ya kibantu kulingana na ushahidi wa ki-isimu. Thibitisha kauli hii.

      

Kiswahili ni lugha ya kibantu kulingana na ushahidi wa ki-isimu. Thibitisha kauli hii.

  

Answers


ESTHER
Kufanana kwa msamiati km. ulimi (kisw) , Rurimi (kikuyu) lulimi (kibukusu)
- Maneno ya Kiswahili yana viambishi km yale ya kibantu mf. M-tu (Kiswahili) , Mu-ntu (zulu), mu-undu (kikuyu)
- Mpangilio wa maneno mf. Mtu mmoja (Kiswahili)
- Mundu umwe (Kikuyu), Muntu umwe (Kimeru)
- Muundo wa maneno kufanana – hutamkwa kisilabi
- Muundo wa maneno kuishia kwa irabu
ESTHER STEVE answered the question on May 14, 2018 at 20:40


Next: Hatua ya serikali kuu kumpa kila mwanafunzi wa darasa la kwanza tarakilishi ni ya manufaa sana. Jadili.
Previous: Onyesha jinsi majazi yametumika katika tamthilia ya Kigogo.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions