Eleza maana ya maneno yafuatayo (i)Kujizatiti (ii)Kichwa kuwa chepesi (iii)Vigae

      

Eleza maana ya maneno yafuatayo
i)Kujizatiti
ii)Kichwa kuwa chepesi
iii)Vigae

  

Answers


Davis
i)Kujitahidi/kutia bidii
ii)Kichwa kinachoelewa mambo kwa urahisi
iii)Vipande
Githiari answered the question on June 9, 2018 at 15:28


Next: (a)Unda nomino kutokana na vivumishi vifuatavyo (i)Zuri (ii)Hodari (b)Yakinisha sentensi hii, Asipotoka nje hataona cha mtema kuni
Previous: Rewrite the following sentence according to the instructions given after each without changing their meaningi)If you find anything suspicious report immediately (Begin: Should......)ii)"Get out before...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions