a)/z/-kikwamizo
/d/-kipasuo
b)Mahali pa kutamkia
c)-Amekuja kutufanya tulie
-Amekuja kwa ajili ya kutuliza watu wanaogombana
ama kutuliza pahala pasipo na amani.
Githiari answered the question on June 9, 2018 at 16:09
- Eleza maana ya maneno yafuatayo (i)Kujizatiti (ii)Kichwa kuwa chepesi (iii)Vigae(Solved)
Eleza maana ya maneno yafuatayo
i)Kujizatiti
ii)Kichwa kuwa chepesi
iii)Vigae
Date posted: June 9, 2018. Answers (1)
- (a)Unda nomino kutokana na vivumishi vifuatavyo (i)Zuri (ii)Hodari (b)Yakinisha sentensi hii, Asipotoka nje hataona cha mtema kuni(Solved)
a)Unda nomino kutokana na vivumishi vifuatavyo
i)Zuri
ii)Hodari
b)Yakinisha sentensi hii,
Asipotoka nje hataona cha mtema kuni
Date posted: June 9, 2018. Answers (1)
- Eleza athari za lugha ya kwanza(Solved)
Eleza athari za lugha ya kwanza.
Date posted: June 4, 2018. Answers (1)
- Tumbo lisiloshiba
“Mimi sitaki ‘naam’ zako nyingi .Wala sitaki msaada wako dhaifu….”
a) Eleza muktadha wa dondoo hilo. (al.4)
b) Taja na ueleze sifa tatu za...(Solved)
Tumbo lisiloshiba
“Mimi sitaki ‘naam’ zako nyingi .Wala sitaki msaada wako dhaifu….”
a) Eleza muktadha wa dondoo hilo. (al.4)
b) Taja na ueleze sifa tatu za msemaji na tatu za msemewa. (al.6)
c) Linganisha matukio hadithini na hali halisi katika jamii ya kiafrika. (al.10)
Date posted: May 27, 2018. Answers (1)
- Onyesha jinsi majazi yametumika katika tamthilia ya Kigogo.(Solved)
Onyesha jinsi majazi yametumika katika tamthilia ya Kigogo.
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- Kiswahili ni lugha ya kibantu kulingana na ushahidi wa ki-isimu. Thibitisha kauli hii.(Solved)
Kiswahili ni lugha ya kibantu kulingana na ushahidi wa ki-isimu. Thibitisha kauli hii.
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- Hatua ya serikali kuu kumpa kila mwanafunzi wa darasa la kwanza tarakilishi ni ya manufaa sana. Jadili.(Solved)
Hatua ya serikali kuu kumpa kila mwanafunzi wa darasa la kwanza tarakilishi ni ya manufaa sana. Jadili.
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- Maenezi ya Kiswahili Afrika Mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano.(Solved)
Maenezi ya Kiswahili Afrika Mashariki punde baada ya uhuru yalikuwa na chagamoto tele. Fafanua zozote tano.
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- “We bwana unafikiri natumia petroli nini?”
(a) Uweke usemi huu katika muktadha wake. (al 4)
(b) Huku ukitoa mifano, eleza mbinu mbili za lugha zilizotumiwa na mwandishi...(Solved)
“We bwana unafikiri natumia petroli nini?”
(a) Uweke usemi huu katika muktadha wake. (al 4)
(b) Huku ukitoa mifano, eleza mbinu mbili za lugha zilizotumiwa na mwandishi katika dondoo hili. (al 4)
(c) Eleza migogoro yoyote sita inayojitokeza katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea. (al 12)
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- Kidagaa Kimemwozea “....usiniweke pembeni kama tanbihi, mimi na wanawake wenzangu kama wanaume wengine wafanyavyo waandikapo...” a) Fafanua muktadha wa dondoo hili (alama 4) (Solved)
Kidagaa Kimemwozea
“....usiniweke pembeni kama tanbihi, mimi na wanawake wenzangu kama wanaume wengine wafanyavyo waandikapo...”
a) Fafanua muktadha wa dondoo hili (alama 4)
b) Fafanua mbinu mbili za uandishi zilizotumika hapa (alama 2)
c) Hakiki usawiri wa wahusika wa kike katika riwaya hii (alama 14)
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- Thibitisha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyo fanikisha maudhui ya uwajibikaji.(Solved)
Thibitisha jinsi mwandishi wa Riwaya ya Kidagaa Kimemwozea alivyo fanikisha maudhui ya uwajibikaji.
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- Jadili mbinu ya sadfa katika Kidagaa Kimemwozea.(Solved)
Jadili mbinu ya sadfa katika Kidagaa Kimemwozea.
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- (i) Eleza maana ya Lingua Franka
(ii) Tambua sifa zozote tatu za Lingua Franka(Solved)
(i) Eleza maana ya Lingua Franka
(ii) Tambua sifa zozote tatu za Lingua Franka
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- Fafanua dhima tano za michezo ya chekechea(Solved)
Fafanua dhima tano za michezo ya chekechea
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- Taja miundo yoyote mitano ya nomino katika ngeli ya A-WA(Solved)
Taja miundo yoyote mitano ya nomino katika ngeli ya A-WA
Date posted: May 14, 2018. Answers (1)
- Eleza umuhimu wa fasihi.(Solved)
Eleza umuhimu wa fasihi.
Date posted: May 9, 2018. Answers (1)
- 1.Taja aina nne za ngomezi za kisasa.
2. Eleza sifa nne za maapizo.
3. Eleza kikwazo vitatu vinavyokumba Fasihi simulizi.(Solved)
1.Taja aina nne za ngomezi za kisasa.
2. Eleza sifa nne za maapizo.
3. Eleza kikwazo vitatu vinavyokumba Fasihi simulizi.
Date posted: May 4, 2018. Answers (1)
- Taja tanzu tano za fasihi simulizi
(Solved)
Taja tanzu tano za fasihi simulizi
Date posted: May 1, 2018. Answers (1)
- Taja maudhui yoyote sita ambayo hujitokeza Katika kazi yako fasihi andishi (Solved)
Taja maudhui yoyote sita ambayo hujitokeza Katika kazi yako fasihi andishi
Date posted: May 1, 2018. Answers (1)
- “Hatimaye Tarishi alikuja na barua moja ya Mtemi na nakala ya siku hiyo ya gazeti la Tomoko Leo: Mtemi Nasaba Bora akapokea barua hiyo na...(Solved)
“Hatimaye Tarishi alikuja na barua moja ya Mtemi na nakala ya siku hiyo ya gazeti la Tomoko Leo: Mtemi Nasaba Bora akapokea barua hiyo na gazeti toka kwa tarishi aliyekuwa kanywea si haba.”
(a) Jadili mambo yaliyomshtua Mtemi Nasaba Bora kuhusiana na barua na gazeti alizopokea siku hiyo.
(b) Onyesha jinsi madhubuti alivyoendeleza uasi dhidi ya babake.
Date posted: April 30, 2018. Answers (1)