(a)Ikanushe sentensi ifuatayo kwa udogo. Nyumba yenyewe iljengwa bondeni karibu na mto. (b)onyesha shadda katika maneno yafuatayo: (i)Mbono(mti) (ii)Barabara (sawasawa) (c)Onyesha matumizi mawili ya (i)kinyota (ii)Ritifaa

      

a)Ikanushe sentensi ifuatayo kwa udogo. Nyumba yenyewe iljengwa bondeni karibu na mto.
b)onyesha shadda katika maneno yafuatayo:
i)Mbono(mti)
ii)Barabara (sawasawa)
c)Onyesha matumizi mawili ya
i)kinyota
ii)Ritifaa

  

Answers


Davis
a)Kijumba chenyewe hakikujengwa kibondeni karibu na kijito
b i)'mbono
ii)bara'bara
c i)-makosa ya hijai
-kuchanganya ndimi
i)waendo' ni hawa-kufupisha(k.v waendao waendo')
ii)kuzamia lulu mp'ka sahil.
Githiari answered the question on June 9, 2018 at 16:11


Next: (a)Eleza tofauti kati ya sauti /z/ na /d/ (b)Toa kigezo chochote kimoja cha kuainisha konsonantic)sentensi ifuatayo ina maana mbili tofauti. Zieleze.Huyu amekuja kutuliza.
Previous: (a)Tunga sentensi kubainisha maana ya neno duni (b)Taja aina zozote mbili za sentensi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions