(a)Tunga sentensi kubainisha maana ya neno duni (b)Taja aina zozote mbili za sentensi

      

a)Tunga sentensi kubainisha maana ya neno duni
b)Taja aina zozote mbili za sentensi

  

Answers


Davis
a)Sentensi yako ni duni sana.Haina maantiki
b)-sentensi za mshangao
-sentensi za taarifa
Githiari answered the question on June 9, 2018 at 16:13


Next: (a)Ikanushe sentensi ifuatayo kwa udogo. Nyumba yenyewe iljengwa bondeni karibu na mto. (b)onyesha shadda katika maneno yafuatayo: (i)Mbono(mti) (ii)Barabara (sawasawa) (c)Onyesha matumizi mawili ya (i)kinyota (ii)Ritifaa
Previous: 1. (a) Andika sentensi ifuatayo iwe katika hali ya -ki- ya masharti. Tulilala sana tukachelewa kwenda shuleni (b)Taja aina mbili za mofimu. 2 (a)Taja sababu mbili zinazomfanya mzungumzaji kutumia...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions