Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

1. (a) Andika sentensi ifuatayo iwe katika hali ya -ki- ya masharti. Tulilala sana tukachelewa kwenda shuleni (b)Taja aina mbili za mofimu. 2 (a)Taja sababu mbili zinazomfanya mzungumzaji kutumia...

      

1.a)Andika sentensi ifuatayo iwe katika hali ya -ki- ya masharti.
Tulilala sana tukachelewa kwenda shuleni
b)Taja aina mbili za mofimu


2 a)Taja sababu mbili zinazomfanya mzungumzaji kutumia zaid ya lugha moja katika mazungumzo katika nyanja za isimu jamii
b)Taja natharia mbili za chimbuko la kiswahili

  

Answers


Davis
1.a)Tukilala sana tutachelewa kwenda shuleni
b)-Mofimu huru
-Mofimu tegemezi.


2.a)-Athari ya lugha ya kwanza
-Kutoelewa lugha ya mazungumzo
-Tofauti za umri kwa wanaozungumziwa kwa pamoja.
b)-Ni lugha ya kibantu
-Ni lugha ya kiarabu.
Githiari answered the question on June 9, 2018 at 16:16


Next: (a)Tunga sentensi kubainisha maana ya neno duni (b)Taja aina zozote mbili za sentensi
Previous: Fafanua mambo tatu yanayoweza kuifanya lugha ienee.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions