Fafanua mambo tatu yanayoweza kuifanya lugha ienee.

      

Fafanua mambo tatu yanayoweza kuifanya lugha ienee.

  

Answers


Davis
i)Elimu;wanafunzi waliomo shule za upili na za msingi hufunzwa kiswahili kama somo la lazima
-Dini; wahubiri wengi hutumia lugha ya kiswahili kueneza neno kanisani.
-Magazeti; baadhi ya magazeti kama vile Taifa leo huchapishwa kwa lugha ya kiswahili.
-Vituo vya habari; vituo kadhaa vya redio na runinga hupeperusha habari na matangazo kwa lugha ya kiswahili.
Githiari answered the question on June 9, 2018 at 16:19


Next: 1. (a) Andika sentensi ifuatayo iwe katika hali ya -ki- ya masharti. Tulilala sana tukachelewa kwenda shuleni (b)Taja aina mbili za mofimu. 2 (a)Taja sababu mbili zinazomfanya mzungumzaji kutumia...
Previous: (a)Taja aina nne za nomino (b)Taja ngeli za nomino zifuatazo (i) Ujinga (ii)Ugonjwa (iii)Kucheza (iv)Sukari (v)Barua (vi)Mti

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions