(a)Taja aina nne za nomino (b)Taja ngeli za nomino zifuatazo (i) Ujinga (ii)Ugonjwa (iii)Kucheza (iv)Sukari (v)Barua (vi)Mti

      

a)Taja aina nne za nomino
b)Taja ngeli za nomino zifuatazo
i)Ujinga
ii)Ugonjwa
iii)Kucheza
iv)Sukari
v)Barua
vi)Mti

  

Answers


Davis
a)-Nomino kundi
-Nomino halisi
-Nomino dhahania


b)i)u-u
ii)u-ya
iii)ku-ku
iv)i-i
v)i-zi
vi)u-i

Githiari answered the question on June 9, 2018 at 16:22


Next: Fafanua mambo tatu yanayoweza kuifanya lugha ienee.
Previous: )a)Tunga sentensi ukitumia nomino 'Mgomba' pamoja na kivumishi kisisitizi cha mbali kidogo (b)Tunga sentensi ukitumia neno kisabuni kama nomino

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions