)a)Tunga sentensi ukitumia nomino 'Mgomba' pamoja na kivumishi kisisitizi cha mbali kidogo (b)Tunga sentensi ukitumia neno kisabuni kama nomino

      

a)Tunga sentensi ukitumia nomino 'Mgomba' pamoja na kivumishi kisisitizi cha mbali kidogo
b)Tunga sentensi ukitumia neno kisabuni kama nomino

  

Answers


Davis
a)Mgomba wa mama, uweke papo hapo
b)Kisabuni alienda nyumbani jana
Githiari answered the question on June 9, 2018 at 16:24


Next: (a)Taja aina nne za nomino (b)Taja ngeli za nomino zifuatazo (i) Ujinga (ii)Ugonjwa (iii)Kucheza (iv)Sukari (v)Barua (vi)Mti
Previous: Rewrite the following sentenses according to the instructions given after each. Do not change the meaning of the original sentencei)On the bus you mustn't eat...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions