Tunga sentensi ili kubainisha maana ya: i)Shuka ii)Suka iii)Zuka

      

Tunga sentensi ili kubainisha maana ya:
i)Shuka
ii)Suka
iii)Zuka

  

Answers


Davis
i)Maana yake kutoka juu kwenda chini; Mpanda ngazi hushuka.
ii)Kutengeneza nywele kwa njia maalum na kuvutia; Wasichana hupenda kusukwa nywele .
iii)Kutokeza kwa ghafla bila kutarajiwa. Vita vilizuka walipoanza magombano.
Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:08


Next: Fill in the blanks with the most appropriate choice between the two provided in brackets. i)The people in the van must have been....................(they, them) ii)Kiros introduce Mwende...
Previous: Taja aina tano za vivumishi vya pekee.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions