Taja aina tano za vivumishi vya pekee.

      

Taja aina tano za vivumishi vya pekee.

  

Answers


Davis
i)-Ote
ii)-O-ote
iii)-enye
iv)-enyewe
v)-ingine
vi)-ingineo
Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:09


Next: Tunga sentensi ili kubainisha maana ya: i)Shuka ii)Suka iii)Zuka
Previous: Andika kwa wingi i)-ake ii)-ako

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions