Panga maneno haya kwa mantiki kutegemea herufi za abjadi vile ilivyo katika kamusi. i)chochwa ii)chocha iii)chochea iv)chocheana

      

Panga maneno haya kwa mantiki kutegemea herufi za abjadi vile ilivyo katika kamusi.
i)chochwa
ii)chocha
iii)chochea
iv)chocheana

  

Answers


Davis
i)Chocha
ii)Chochea
iii)Chocheana
iv)Chochwa.

Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:12


Next: Andika kwa wingi i)-ake ii)-ako
Previous: Andika sentensi ifuatayo kwa usemi wa taarifa. "Mimi sitakubali kuchezewa namna hii." Alisema Omollo.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions