Andika sentensi ifuatayo kwa usemi wa taarifa. "Mimi sitakubali kuchezewa namna hii." Alisema Omollo.

      

Andika sentensi ifuatayo kwa usemi wa taarifa.
"Mimi sitakubali kuchezewa namna hii." Alisema Omollo.

  

Answers


Davis
Omollo alisema kuwa, yeye hangekubali kuchezewa kwa namna hiyo/ile.
Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:14


Next: Panga maneno haya kwa mantiki kutegemea herufi za abjadi vile ilivyo katika kamusi. i)chochwa ii)chocha iii)chochea iv)chocheana
Previous: Andika kwa wingi Utepe mweusi ulizungushiwa uzio.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions