a)Kanusha sentensi ifuatayo Tukipiga kura vizuri tutapata kiongozi bora. b)Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo. Vita vya panzi furaha ya kunguru. (Anza: Kunguru)

      

a)Kanusha sentensi ifuatayo
Tukipiga kura vizuri tutapata kiongozi bora.


b)Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo.
Vita vya panzi furaha ya kunguru. (Anza: Kunguru)

  

Answers


Davis
a)Tusipopiga kura vizuri hatutapata kiongozi bora.

b)-Kunguru furaha yake ni vita vya panzi.
-Kunguru hufurahia panapo vita vya panzi.

Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:19


Next: Andika kwa wingi Utepe mweusi ulizungushiwa uzio.
Previous: a)Andika upya sentensi ifuatayo kwa kutumia kirejeshi -amba-. Opiata amenunua riwaya ya Msimu wa Vipepeo. Ameipenda sana riwaya hiyo. b)Andika kwa ukubwa. Ndama huyu mdogo alizaliwa na...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions