a)Andika upya sentensi ifuatayo kwa kutumia kirejeshi -amba-. Opiata amenunua riwaya ya Msimu wa Vipepeo. Ameipenda sana riwaya hiyo. b)Andika kwa ukubwa. Ndama huyu mdogo alizaliwa na...

      

a)Andika upya sentensi ifuatayo kwa kutumia kirejeshi -amba-.
Opiata amenunua riwaya ya Msimu wa Vipepeo. Ameipenda sana riwaya hiyo.


b)Andika kwa ukubwa.
Ndama huyu mdogo alizaliwa na ng'ombe yule pale.

  

Answers


Davis
a)Opiata amenunua riwaya ya Msimu wa Vipepeo ambayo ameipenda sana.

b)Jidama hili dogo lilizaliwa na jigombe lile pale.
Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:22


Next: a)Kanusha sentensi ifuatayo Tukipiga kura vizuri tutapata kiongozi bora. b)Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo. Vita vya panzi furaha ya kunguru. (Anza: Kunguru)
Previous: Fafanua sifa tano za sajili ya hospitalini.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions