Fafanua sifa tano za sajili ya hospitalini.

      

Fafanua sifa tano za sajili ya hospitalini.

  

Answers


Davis
i)Lugha inayotumika si sanifu neno baada ya lingine.
ii)Kuna uhamisho wa ndimi
iii)Lugha ya udadisi hutumika.
iv)Hutumia sentensi fupi fupi kwa urahisi wa maelewano.
v)Kuna matumizi mwafaka ya misamiati.

Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:23


Next: a)Andika upya sentensi ifuatayo kwa kutumia kirejeshi -amba-. Opiata amenunua riwaya ya Msimu wa Vipepeo. Ameipenda sana riwaya hiyo. b)Andika kwa ukubwa. Ndama huyu mdogo alizaliwa na...
Previous: a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo. i) Lo! lo! yule ni nani? ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna. iii)Zii! kwani wewe huna aibu? b)Tegua vitendawili vifuatavyo. i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions