a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo. i) Lo! lo! yule ni nani? ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna. iii)Zii! kwani wewe huna aibu? b)Tegua vitendawili vifuatavyo. i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa...

      

a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo.
i) Lo! lo! yule ni nani?
ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna.
iii)Zii! kwani huna aibu?

b)Tegua vitendawili vifuatavyo.
i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa ufunguo.
ii)Nyumba yangu kuu lakini ina mlango mdogo.
iii)Nimeanika mpunga wangu usiku kulipopambazuka sikuuona.
iv)Haukamatiki wala haushikiki.

  

Answers


Davis
a)i)Lo! lo!
ii)Salaala!
iii)Zii!

b)i)Moyo
ii)Chupa
iii)Nyota
iv)Moshi/Upepo.
Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:29


Next: Fafanua sifa tano za sajili ya hospitalini.
Previous: Chagua kiunganishi kukamilisha sentensi zifuatazo.(tena, kasha, wala, mpaka, lakini) a)Sikwenda sokoni..........dukani b)Nilikwenda............sikupata nilichokitaka. c)Mimi nimekasirika,............. nimekasirika sana. d)Tutajitahidi...........tupite mitihani yote.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions