Chagua kiunganishi kukamilisha sentensi zifuatazo.(tena, kasha, wala, mpaka, lakini) a)Sikwenda sokoni..........dukani b)Nilikwenda............sikupata nilichokitaka. c)Mimi nimekasirika,............. nimekasirika sana. d)Tutajitahidi...........tupite mitihani yote.

      

Chagua kiunganishi kukamilisha asentensi zifuatazo.(tena, kasha, wala, mpaka, lakini)

a)Sikwenda sokoni..........dukani
b)Nilikwenda............sikupata nilichokitaka.
c)Mimi nimekasirika,............. nimekasirika sana.
d)Tutajitahidi...........tupite mitihani yote.

  

Answers


Davis
a)wala
b)lakini
c)tena
d)mpaka.
Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:39


Next: a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo. i) Lo! lo! yule ni nani? ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna. iii)Zii! kwani wewe huna aibu? b)Tegua vitendawili vifuatavyo. i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa...
Previous: Bainisha maneno katika sentensi zifuatazo. i)Mama na baba wamefika. ii)Mbwa na paka wanchukiana sana.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions