Bainisha maneno katika sentensi zifuatazo. i)Mama na baba wamefika. ii)Mbwa na paka wanchukiana sana.

      

Bainisha maneno katika sentensi zifuatazo.
i)Mama na baba wamefika.
ii)Mbwa na paka wanchukiana sana.

  

Answers


Davis
i)Mama-nomino
na-kiunganishi
baba-nomino
wamefika-kitenzi.
ii)Mbwa-nomino
na-kiunganishi
paka-nomino
wanachukiana-kitenzi
sana-kielezi.

Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:40


Next: Chagua kiunganishi kukamilisha sentensi zifuatazo.(tena, kasha, wala, mpaka, lakini) a)Sikwenda sokoni..........dukani b)Nilikwenda............sikupata nilichokitaka. c)Mimi nimekasirika,............. nimekasirika sana. d)Tutajitahidi...........tupite mitihani yote.
Previous: a).Kanusha sentensi zifuatazo. a)Kondoo amekula majani. b)Sisi tumefurahi c)Baba ameandika barua ndefu. b)Andika nahau tatu zenye neno 'piga'.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions