a).Kanusha sentensi zifuatazo. a)Kondoo amekula majani. b)Sisi tumefurahi c)Baba ameandika barua ndefu. b)Andika nahau tatu zenye neno 'piga'.

      

a).Kanusha sentensi zifuatazo.
a)Kondoo amekula majani.
b)Sisi tumefurahi
c)Baba ameandika barua ndefu.

b)Andika nahau tatu zenye neno 'piga'.

  

Answers


Davis
a.a)Kondoo hajala majani.
b)Sisi hatujafurahia.
c)Baba hajaandika barua ndefu.

b.i)Piga maji
ii)Piga kikumbo
iii)Piga debe
iv)Piga soga
v)Piga jeki.
vi)Piga pasi.


Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:43


Next: Bainisha maneno katika sentensi zifuatazo. i)Mama na baba wamefika. ii)Mbwa na paka wanchukiana sana.
Previous: a).Andika sentensi zifuatazo katika umoja. i)Walimu wamekaribisha akina mama shuleni.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions