a).Andika sentensi zifuatazo katika umoja. i)Walimu wamekaribisha akina mama shuleni.

      

a).Andika sentensi zifuatazo katika umoja.
i)Walimu wamekaribisha akina mama shuleni.
ii)Wasafiri wameapa kutosafiri katika magari hayo makuukuu.


b).Kamilisha methali zifuatazo.
i)Cha kuvunda hakina...............
ii)............vyajiuza vibaya vyajitembeza.
iii)Aambiwaye akakataa................

  

Answers


Davis
a.i)Mwalimu amekaribisha mama shuleni.
ii)Msafiri ameapa kutosafiri katika gari gilo kuukuu.

b.i)ubani
ii)Vyema
iii)hujionea mwenyewe.
Githiari answered the question on June 17, 2018 at 16:48


Next: a).Kanusha sentensi zifuatazo. a)Kondoo amekula majani. b)Sisi tumefurahi c)Baba ameandika barua ndefu. b)Andika nahau tatu zenye neno 'piga'.
Previous: Explain circumstances under which the buyer may reject the goods and repudiate a contract

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions