Bainisha aina za vielezi katika orodha zifuatazo. i)Kale, kitambo, baadaye, punde si punde. ii)Kijinga, kivivu, kistarabu iii)Huku, ndani, juu, katikati, pale.

      

Bainisha aina za vielezi katika orodha zifuatazo.
i)Kale, kitambo, baadaye, punde si punde.
ii)Kijinga, kivivu, kistarabu
iii)Huku, ndani, juu, katikati, pale.

  

Answers


Davis
i)Wakati
ii)namna
iii)mahali.
Githiari answered the question on June 18, 2018 at 16:06


Next: What is the importance of a screen saver?
Previous: Change the following sentences to plural i)The leaf fell of the tree during the storm. ii)The housekeepers bought a mango, a tomato, an orange and a potato. iii)The...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions