a)Mshororo unaorudiwarudiwa katika kila ubeti.
b)Fungu la mishororo yenye ujumbe katika shairi.
c)Idadi ya silabi katika kila mshororo.
Githiari answered the question on June 18, 2018 at 16:13
- Bainisha aina za vielezi katika orodha zifuatazo.
i)Kale, kitambo, baadaye, punde si punde.
ii)Kijinga, kivivu, kistarabu
iii)Huku, ndani, juu, katikati, pale.
(Solved)
Bainisha aina za vielezi katika orodha zifuatazo.
i)Kale, kitambo, baadaye, punde si punde.
ii)Kijinga, kivivu, kistarabu
iii)Huku, ndani, juu, katikati, pale.
Date posted: June 18, 2018. Answers (1)
- a).Andika sentensi zifuatazo katika umoja. i)Walimu wamekaribisha akina mama shuleni.(Solved)
a).Andika sentensi zifuatazo katika umoja.
i)Walimu wamekaribisha akina mama shuleni.
ii)Wasafiri wameapa kutosafiri katika magari hayo makuukuu.
b).Kamilisha methali zifuatazo.
i)Cha kuvunda hakina...............
ii)............vyajiuza vibaya vyajitembeza.
iii)Aambiwaye akakataa................
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- a).Kanusha sentensi zifuatazo.
a)Kondoo amekula majani.
b)Sisi tumefurahi
c)Baba ameandika barua ndefu.
b)Andika nahau tatu zenye neno 'piga'.
(Solved)
a).Kanusha sentensi zifuatazo.
a)Kondoo amekula majani.
b)Sisi tumefurahi
c)Baba ameandika barua ndefu.
b)Andika nahau tatu zenye neno 'piga'.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Bainisha maneno katika sentensi zifuatazo.
i)Mama na baba wamefika.
ii)Mbwa na paka wanchukiana sana.
(Solved)
Bainisha maneno katika sentensi zifuatazo.
i)Mama na baba wamefika.
ii)Mbwa na paka wanchukiana sana.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Chagua kiunganishi kukamilisha sentensi zifuatazo.(tena, kasha, wala, mpaka, lakini)
a)Sikwenda sokoni..........dukani
b)Nilikwenda............sikupata nilichokitaka.
c)Mimi nimekasirika,............. nimekasirika sana.
d)Tutajitahidi...........tupite mitihani yote.(Solved)
Chagua kiunganishi kukamilisha asentensi zifuatazo.(tena, kasha, wala, mpaka, lakini)
a)Sikwenda sokoni..........dukani
b)Nilikwenda............sikupata nilichokitaka.
c)Mimi nimekasirika,............. nimekasirika sana.
d)Tutajitahidi...........tupite mitihani yote.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo.
i) Lo! lo! yule ni nani?
ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna.
iii)Zii! kwani wewe huna aibu?
b)Tegua vitendawili vifuatavyo.
i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa...(Solved)
a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo.
i) Lo! lo! yule ni nani?
ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna.
iii)Zii! kwani huna aibu?
b)Tegua vitendawili vifuatavyo.
i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa ufunguo.
ii)Nyumba yangu kuu lakini ina mlango mdogo.
iii)Nimeanika mpunga wangu usiku kulipopambazuka sikuuona.
iv)Haukamatiki wala haushikiki.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Fafanua sifa tano za sajili ya hospitalini.(Solved)
Fafanua sifa tano za sajili ya hospitalini.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- a)Andika upya sentensi ifuatayo kwa kutumia kirejeshi -amba-.
Opiata amenunua riwaya ya Msimu wa Vipepeo. Ameipenda sana riwaya hiyo.
b)Andika kwa ukubwa.
Ndama huyu mdogo alizaliwa na...(Solved)
a)Andika upya sentensi ifuatayo kwa kutumia kirejeshi -amba-.
Opiata amenunua riwaya ya Msimu wa Vipepeo. Ameipenda sana riwaya hiyo.
b)Andika kwa ukubwa.
Ndama huyu mdogo alizaliwa na ng'ombe yule pale.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- a)Kanusha sentensi ifuatayo
Tukipiga kura vizuri tutapata kiongozi bora.
b)Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo.
Vita vya panzi furaha ya kunguru. (Anza: Kunguru)
(Solved)
a)Kanusha sentensi ifuatayo
Tukipiga kura vizuri tutapata kiongozi bora.
b)Andika sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo.
Vita vya panzi furaha ya kunguru. (Anza: Kunguru)
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Andika kwa wingi
Utepe mweusi ulizungushiwa uzio.(Solved)
Andika kwa wingi
Utepe mweusi ulizungushiwa uzio.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo kwa usemi wa taarifa.
"Mimi sitakubali kuchezewa namna hii." Alisema Omollo.
(Solved)
Andika sentensi ifuatayo kwa usemi wa taarifa.
"Mimi sitakubali kuchezewa namna hii." Alisema Omollo.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Panga maneno haya kwa mantiki kutegemea herufi za abjadi vile ilivyo katika kamusi.
i)chochwa
ii)chocha
iii)chochea
iv)chocheana(Solved)
Panga maneno haya kwa mantiki kutegemea herufi za abjadi vile ilivyo katika kamusi.
i)chochwa
ii)chocha
iii)chochea
iv)chocheana
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Andika kwa wingi
i)-ake
ii)-ako(Solved)
Andika kwa wingi
i)-ake
ii)-ako
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Taja aina tano za vivumishi vya pekee.(Solved)
Taja aina tano za vivumishi vya pekee.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Tunga sentensi ili kubainisha maana ya:
i)Shuka
ii)Suka
iii)Zuka(Solved)
Tunga sentensi ili kubainisha maana ya:
i)Shuka
ii)Suka
iii)Zuka
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Ala songezi in nini?(Solved)
Ala songezi in nini?
Date posted: June 11, 2018. Answers (1)
- )a)Tunga sentensi ukitumia nomino 'Mgomba' pamoja na kivumishi kisisitizi cha mbali kidogo (b)Tunga sentensi ukitumia neno kisabuni kama nomino(Solved)
a)Tunga sentensi ukitumia nomino 'Mgomba' pamoja na kivumishi kisisitizi cha mbali kidogo
b)Tunga sentensi ukitumia neno kisabuni kama nomino
Date posted: June 9, 2018. Answers (1)
- (a)Taja aina nne za nomino (b)Taja ngeli za nomino zifuatazo (i) Ujinga (ii)Ugonjwa (iii)Kucheza (iv)Sukari (v)Barua (vi)Mti(Solved)
a)Taja aina nne za nomino
b)Taja ngeli za nomino zifuatazo
i)Ujinga
ii)Ugonjwa
iii)Kucheza
iv)Sukari
v)Barua
vi)Mti
Date posted: June 9, 2018. Answers (1)
- Fafanua mambo tatu yanayoweza kuifanya lugha ienee.(Solved)
Fafanua mambo tatu yanayoweza kuifanya lugha ienee.
Date posted: June 9, 2018. Answers (1)
- 1. (a) Andika sentensi ifuatayo iwe katika hali ya -ki- ya masharti. Tulilala sana tukachelewa kwenda shuleni (b)Taja aina mbili za mofimu. 2 (a)Taja sababu mbili zinazomfanya mzungumzaji kutumia...(Solved)
1.a)Andika sentensi ifuatayo iwe katika hali ya -ki- ya masharti.
Tulilala sana tukachelewa kwenda shuleni
b)Taja aina mbili za mofimu
2 a)Taja sababu mbili zinazomfanya mzungumzaji kutumia zaid ya lugha moja katika mazungumzo katika nyanja za isimu jamii
b)Taja natharia mbili za chimbuko la kiswahili
Date posted: June 9, 2018. Answers (1)