Eleza matumizi ya nukta mbili

      

Eleza matumizi ya nukta mbili

  

Answers


Alphonce
Kutanguliza orodha
Kuelezea sababu au kuonyesha matokeo ya kitu.

Kuonyesha saa.
Kunukuu ukurasa wa Bibilia.

Kuonyesha maneno ya msemaji katika tamthilia au mchezo wa kuigiza. Kuonyesha mada katika barua au kumbukumbu za mkutano.

Alphonce100 answered the question on June 20, 2018 at 08:19


Next: Highlight ways in which the spread of round worms can be prevented
Previous: Highlight ways in which a business may use internal environment to influence growth and profitability

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions