Eleza umuhimu wa isimu jamii

      

Eleza umuhimu wa isimu jamii.

  

Answers


Raphael
1.Hutumika katika kuhifadhi kumbukumbu za historia katika jamii fulani.
2.Ni kitambulisho katika jamii husika.
3.Ni chombo cha mawasiliano kati ya jamii.
4.Huelimisha wanajamii katika kuwaeleza yanayofaa katika jamii husika.
5.Husaidia katika utafiti wa jamii fulani.
Earlen answered the question on July 4, 2018 at 15:07


Next: Define concentrates and give examples
Previous: Legislation relating to ICT includes the Computer Misuse Act. Identify two offences included in the Computer Misuse Act.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions