Elelza jinsi ya kutatua changamoto zinazomkuba mtafiti

      

Elelza jinsi ya kutatua changamoto zinazomkuba mtafiti.

  

Answers


Andrew
Changamoto zinazoweza kumkumba mtafiti huweza kutatuliwa kwa njia zifuatazo:
1. Kumpa fedha za matumizi za kutosha ili asipungukiwe mahitaji yake katika utafiti.
2. Kwa kupata barua na stakabadhi maalum za kumruhusu kufanya utafiti katika eneno aendako.
3. Kujijulisha kwa kina na eneo la utafiti kwa kulizuru mapema.
4. Kutangamana na watu anaoshirikiana nao katika kazi ya ili kusiwe na vurugu na kukataliwa wakati wa utafiti wake.
5. Kutumia vyombo vilvyo hali nzuri ili kuepukana na tatizo la kukosa kukusanya matukio ya utafiti.
6. Kuhifadhi vyema anayopata ili kujikinga na kupotea kwa data muhimu.
Andreaz answered the question on September 6, 2018 at 09:41


Next: Outline the limitations of deficit financing.
Previous: Describe any two tasks that a conservation worker might do.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions