Onyesha uhusiano wa kiutoano wa Maneno yafuatayo. fahali........ Buda.........

      

Onyesha uhusiano wa kiutoano wa Maneno yafuatayo.
fahali........
Buda.........

  

Answers


Dicktamba
Fahali ni ng'ombe wa kiume(ndume)vile vile neno buda katika lugha ya sheng' humaanisha kijana mvulana ama aghalabu mzazi wa kiume(baba)
aluuz answered the question on September 18, 2018 at 17:54


Next: What is the significance of Fayum depression?
Previous: Examine the challenges that have affected the democratization process in Kenya since independence

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions