Ayari ni mdanganyifu au mtu anayetumia ujanja; kimsingi ngano za ayari zina uhusisha mhusika ambaye anajifanya rafiki huku akiwa na dhamira ya kujinufaisha mwenyewe.
Ni ngano ambapo mhusika mmoja anatumia hila au ujanja kulaghai
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:31
- Taja sifa tano za hekaya(Solved)
Taja sifa tano za hekaya
Date posted: July 24, 2018. Answers (1)
- Onyesha uhusiano wa kiutoano wa Maneno yafuatayo.
fahali........
Buda......... (Solved)
Onyesha uhusiano wa kiutoano wa Maneno yafuatayo.
fahali........
Buda.........
Date posted: July 23, 2018. Answers (1)
- Unda kitenzi kutokana na nomino baridi(Solved)
Unda kitenzi kutokana na nomino baridi
Date posted: July 21, 2018. Answers (1)
- Andika kinyume cha maneno haya 1. Andika 2. Chota 3. Tundika(Solved)
Andika kinyume cha maneno haya
1. Andika
2. Ahota
3. Tundika
Date posted: July 16, 2018. Answers (1)
- Elelza jinsi ya kutatua changamoto zinazomkuba mtafiti(Solved)
Elelza jinsi ya kutatua changamoto zinazomkuba mtafiti.
Date posted: July 10, 2018. Answers (1)
- Kufanikiwa kwa uwasilishaji wa tanzu ya fasihi simulizi hutegemea fanani. Jadili(Solved)
Kufanikiwa kwa uwasilishaji wa tanzu ya fasihi simulizi hutegemea fanani. Jadili
Date posted: July 6, 2018. Answers (1)
- Ainisha mbinu za ukusanyaji na uhifadhi wa data za fasihi
(Solved)
Ainisha mbinu za ukusanyaji na uhifadhi wa data za fasihi
Date posted: July 4, 2018. Answers (1)
- Eleza umuhimu wa isimu jamii(Solved)
Eleza umuhimu wa isimu jamii.
Date posted: July 2, 2018. Answers (1)
- Andika kwa wastani.
Magoma haya yatachezwa wanjani(Solved)
Andika kwa wastani.
Magoma haya yatachezwa wanjani
Date posted: June 26, 2018. Answers (1)
- Eleza mambo yanayochangia katika kuenea kwa lugha ya kiswahili(Solved)
Ekeza mambo yanayochangia katika kuenea kwa lugha ya kiswahili
Date posted: June 21, 2018. Answers (1)
- Eleza mbinu zozote kumi za uandishi katika tamthilia ya kigogo(Solved)
Eleza mbinu zozote kumi za uandishi katika tamthilia ya kigogo.
Date posted: June 19, 2018. Answers (1)
- Eleza matumizi ya nukta mbili(Solved)
Eleza matumizi ya nukta mbili
Date posted: June 19, 2018. Answers (1)
- Eleza msamiati ufuatao kama katika ushairi.
a)Kibwagizo
b)Ubeti
c)Mizani
(Solved)
Eleza msamiati ufuatao kama katika ushairi.
a)Kibwagizo
b)Ubeti
c)Mizani
Date posted: June 18, 2018. Answers (1)
- Bainisha aina za vielezi katika orodha zifuatazo.
i)Kale, kitambo, baadaye, punde si punde.
ii)Kijinga, kivivu, kistarabu
iii)Huku, ndani, juu, katikati, pale.
(Solved)
Bainisha aina za vielezi katika orodha zifuatazo.
i)Kale, kitambo, baadaye, punde si punde.
ii)Kijinga, kivivu, kistarabu
iii)Huku, ndani, juu, katikati, pale.
Date posted: June 18, 2018. Answers (1)
- a).Andika sentensi zifuatazo katika umoja. i)Walimu wamekaribisha akina mama shuleni.(Solved)
a).Andika sentensi zifuatazo katika umoja.
i)Walimu wamekaribisha akina mama shuleni.
ii)Wasafiri wameapa kutosafiri katika magari hayo makuukuu.
b).Kamilisha methali zifuatazo.
i)Cha kuvunda hakina...............
ii)............vyajiuza vibaya vyajitembeza.
iii)Aambiwaye akakataa................
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- a).Kanusha sentensi zifuatazo.
a)Kondoo amekula majani.
b)Sisi tumefurahi
c)Baba ameandika barua ndefu.
b)Andika nahau tatu zenye neno 'piga'.
(Solved)
a).Kanusha sentensi zifuatazo.
a)Kondoo amekula majani.
b)Sisi tumefurahi
c)Baba ameandika barua ndefu.
b)Andika nahau tatu zenye neno 'piga'.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Bainisha maneno katika sentensi zifuatazo.
i)Mama na baba wamefika.
ii)Mbwa na paka wanchukiana sana.
(Solved)
Bainisha maneno katika sentensi zifuatazo.
i)Mama na baba wamefika.
ii)Mbwa na paka wanchukiana sana.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Chagua kiunganishi kukamilisha sentensi zifuatazo.(tena, kasha, wala, mpaka, lakini)
a)Sikwenda sokoni..........dukani
b)Nilikwenda............sikupata nilichokitaka.
c)Mimi nimekasirika,............. nimekasirika sana.
d)Tutajitahidi...........tupite mitihani yote.(Solved)
Chagua kiunganishi kukamilisha asentensi zifuatazo.(tena, kasha, wala, mpaka, lakini)
a)Sikwenda sokoni..........dukani
b)Nilikwenda............sikupata nilichokitaka.
c)Mimi nimekasirika,............. nimekasirika sana.
d)Tutajitahidi...........tupite mitihani yote.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo.
i) Lo! lo! yule ni nani?
ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna.
iii)Zii! kwani wewe huna aibu?
b)Tegua vitendawili vifuatavyo.
i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa...(Solved)
a)Onyesha vivisishi katika sentensi zifuatazo.
i) Lo! lo! yule ni nani?
ii)Salaala! mbwa mkali amemuuma Maimuna.
iii)Zii! kwani huna aibu?
b)Tegua vitendawili vifuatavyo.
i)Nina saa ambayo haijasimama tangu kutiwa ufunguo.
ii)Nyumba yangu kuu lakini ina mlango mdogo.
iii)Nimeanika mpunga wangu usiku kulipopambazuka sikuuona.
iv)Haukamatiki wala haushikiki.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)
- Fafanua sifa tano za sajili ya hospitalini.(Solved)
Fafanua sifa tano za sajili ya hospitalini.
Date posted: June 17, 2018. Answers (1)