Je hekaya zina umuhimu gani katika jamii?

      

Je hekaya zina umuhimu gani katika jamii?

  

Answers


KELVIN
?Kutoa maadili kwa wanajamii ili waache kuwatendea wenzao ujanja na kuwalaghai.
?Hufunza watu kuhusu matendo mema.
?Huonya dhidi ya upumbavu.
?Hufunza kuwa katika ulimwengu uliojaa hila na udanganyifu silaha ni maarifa,wema na maadilifu

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:32


Next: Eleza maana ya ayari
Previous:  Eleza nini maana ya hurafa katika fasihi simulizi kisha toa sifa zake nne

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions