Eleza nini maana ya hurafa katika fasihi simulizi kisha toa sifa zake nne

      

Eleza nini maana ya hurafa katika fasihi simulizi kisha toa sifa zake nne

  

Answers


KELVIN
Ni hadithi zinazohusisha wanyama kama wahusika.
Sifa
?Huwa na wahusika wanyama.
?Wanyama hupewa sifa za binadamu.
?Wanyama huwakilisha binadamu wa kawaida.
?Huonyesha maadili katika jamii.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:34


Next: Je hekaya zina umuhimu gani katika jamii?
Previous: Hurafa huwa na umuhimu gani katika jamii?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions