Hurafa huwa na umuhimu gani katika jamii?

      

Hurafa huwa na umuhimu gani katika jamii?

  

Answers


KELVIN
?Humwezesha msimulizi na hadhira yake kusema mambo ambayo kwa kawaida ingekuwa muhali kuyatamka hadharani.
?Huwakashifu binadamu bila kuudhi mmoja kati ya hadhira.
?Husaidia katika kupiga chuku mambo yanayotendwa na binadamu na hivyo kuwakosoa.
?Huwakilisha sifa za binadamu kama vile ulafi.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:36


Next:  Eleza nini maana ya hurafa katika fasihi simulizi kisha toa sifa zake nne
Previous: Fafanua maana ya ngano za mazimwi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions