Fafanua maana ya ngano za mazimwi

      

Fafanua maana ya ngano za mazimwi.

  

Answers


KELVIN
Ni hadithi ambazo huwa na mazimwi kama wahusika wakuu. Zimwi ni kiumbe ambacho ni zao la akili ya binadamu. Zimwi linapofananishwa na bidanadamu, hupewa sifa fulani zinazojitenga na binadamu wa kawaida kama vile kuwa na jicho moja, mikono mingi na miguu kubwa ajabu.
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:37


Next: Hurafa huwa na umuhimu gani katika jamii?
Previous: Orodhesha sifa zozote tano za ngano za mazimwi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions