Ngano za mazimwi huwa na umuhimu upi katika jamii kwa ujumla?

      

Ngano za mazimwi huwa na umuhimu upi katika jamii kwa ujumla?

  

Answers


KELVIN
?Kukemea ukatili katika jamii.
?Kuonyesha kuwa wema hushinda uovu kila mara.
?Kuhimiza moyo wa ushujaa.
?Kukaza uwezo wa kufikiri miongoni mwa watoto kupitia fantansia.
?Kuburudisha.
?Kusifu wema.
?Kuendeleza uhusiano katika jamii.
?Kuboresha uwezo wa kukumbuka.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:39


Next: Orodhesha sifa zozote tano za ngano za mazimwi
Previous: Nini maana ya ngano za usuli?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions