Nini maana ya ngano za usuli?

      

Nini maana ya ngano za usuli?

  

Answers


KELVIN
Ni ngano ambazo husimulia visa vinavyoeleza asili ya vitu kimaumbile au hali fulani. Aghalabu sifa fulani za ndege au wanyama huelezwa.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:41


Next: Ngano za mazimwi huwa na umuhimu upi katika jamii kwa ujumla?
Previous: Taja sifa nne za ngano za usuli

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions