Taja sifa nne za ngano za usuli

      

Taja sifa nne za ngano za usuli

  

Answers


KELVIN
?Huchukuliwa na wanajamii kuwa ukweli.
?Ni maarufu miongoni mwa jamii nyingi.
?Huonyesha uhusiano wa karibu sana kati ya binadamu na wanyama.
?Huwa na mwelekeo wa kihistoria.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:42


Next: Nini maana ya ngano za usuli?
Previous: Ngano za usuli huwa na umuhimu upi katika jamii

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions