Ngano za usuli huwa na umuhimu upi katika jamii

      

Ngano za usuli huwa na umuhumu upi katika jamii

  

Answers


KELVIN
?Kueleza dhana ambazo ni nzito kueleza kisayansi.
?Kuelezea utamaduni wa jamii.
?kukuza uwezo wa kufikiria.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:45


Next: Taja sifa nne za ngano za usuli
Previous: Ngano za mitanzuko ni nini

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions