Ngano za mitanzuko ni nini

      

Ngano za mitanzuko ni nini

  

Answers


KELVIN
Hadithi ambazo wahusika au mhusika hupambana na hali ambapo analazimika kufanya uteuzi mgumu yaani, kuna hali mbili au zaidi zilizo gumu. Huweza pia kuhusisha kufanya uamuzi fulani aghalabu kimaadili
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:46


Next: Ngano za usuli huwa na umuhimu upi katika jamii
Previous: Sifa za ngano za mtanziko

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions