Sifa za ngano za mtanziko

      

Sifa za ngano za mtanziko

  

Answers


KELVIN
? Huishia kwa swali ambalo mtambaji analiachia hadhira ijibu au iliwazie na kulitafutia uvumbuzi.
? Hukusudiwa kuipevusha jamii kwa kuikuza na kuendeleza uwezo wao wa kufanya uamuzi fulani.
? Huweza kuzua mijadala miongoni mwa wanajamii pamoja na kuukuza uwezo wa kushiriki kwenye majadiliano au mazungumzo ya kimjadala

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:54


Next: Ngano za mitanzuko ni nini
Previous: Fafanua maana ya istiara

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions