Fafanua maana ya istiara

      

Fafanua maana ya istiara

  

Answers


KELVIN
Hadithi ambayo huwa na maana mbili; uwazi na ufiche. Ile maana wazi huificha maana ya pili ambayo kueleweka kwake huhitaji ufahamu fulani wa muktadha wa hadithi yenyewe. Wahusika na matukio yaliopo huwa kama mlinganisho wa hali nyinginezo huwa kama sitiari yaani vinasimamia watu halisi.
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:56


Next: Sifa za ngano za mtanziko
Previous: Eleza maana ya soga katika fasihi simulizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions