Eleza maana ya soga katika fasihi simulizi

      

Eleza maana ya soga katika fasihi simulizi

  

Answers


KELVIN
Ni hadithi ndogo ndogo zinazohusisha utani na ucheshi kwa kiasi Fulani kimsingi soga hutumiwa kwa akili ya kuchekesha, kukejeli au kuumbua au kufanyia dhihaka. Hata hivyo, katika ucheshi huo, mna mafunzo muhimu kwa binadamu.
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:56


Next: Fafanua maana ya istiara
Previous: taja sifa tano za soga

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions