taja sifa tano za soga

      

taja sifa tano za soga

  

Answers


KELVIN
?Wahusika huwa ni wa kubuni.
?Wahusika hupewa majina ya watu wanaopatikana katika jamii.
?Huwa na ukweli fulani unaowaumiza na unaowahusu wanajamii.
?Ucheshi au vichekesho vinavyotumiwa huwa muhimu kama njia ya kupunguza ukali wa ukweli uliomo.
?Hujengwa kwenye tukio moja.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:57


Next: Eleza maana ya soga katika fasihi simulizi
Previous: Eleza maana ya mbazi au Vigano

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions