Eleza maana ya mbazi au Vigano

      

Eleza maana ya mbazi au Vigano.

  

Answers


KELVIN
Ni hadithi ambazo huwa za kimafumbo na mafunzo, hutolewa kwa kutumia kielelezo hasa wakati wa maongezi, zina wadhifa wa kama methali.
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 09:59


Next: taja sifa tano za soga
Previous: Taja sifa nne za mbazi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions