Taja sifa nne za mbazi

      

Taja sifa nne za mbazi.

  

Answers


KELVIN
? Hutolewa kama kielelezo.
? Kusudi ni kumkanya, kuwelekeza, kuadhibu na hata kumfunza anayesikiliza.
? Hadhira hujifunza kutokana na masaibu yaliyowafika wahusika wa hadithi hiyo.
? Mifano kutoka bibiliani.

kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 10:00


Next: Eleza maana ya mbazi au Vigano
Previous: Ngano za kichimbakazi au udhubahi ni zipi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions