Eleza maana ya kidahizo au mchapo

      

Eleza maana ya kidahizo au mchapo.

  

Answers


KELVIN
Huwa ni kisa kifupi kinachomhusu mtu au tukio fulani. Aghalabu wahusika wanaopatikana kitaka mchapo huwa na maana ya ziada.
kalvinspartan answered the question on July 24, 2018 at 10:31


Next: Nini sifa za udhubahi
Previous: Taja sifa zozote tano za mighani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions